Chakula cha watoto wasiopenda kula (Easy meal for a picky fussy eater)Kama una mtoto asiyependa kula vyakula vyake labla hiki atapenda. Mwanangu anapenda kuona anakula kama mtu mzima lakini bado anasumbua sana kula

Kinachosaidia anapenda sea foods hivyo hata shrimps anakula kidogo.

Mac and cheese inaonekana ni winner kwa watoto wengi lakini huyu wangu hata hichi ni kazi kweli kumpa.
Hivyo nikiweka shrimps basi angalau atadokoa dokoa hapo na mboga za majani kidogo siku imepita.

Mahitaji
Pasta
cheese
Milk
Shrimps
Salt
Veggies

No comments: