Muffins za Ndizi (BANANA MUFFINS)

Mahitaji
2 1/4 cups unga wa ngano
1/2 teaspoon chumvi
1 tsp baking powder
1 tbs  magadi soda
1/2 teaspoon mdalasini
1/2 cup vegetable cooking oil
1/4 cup of applesauce
1 cups sukari
2 Mayai
3 Ndizi zilizoiva (peeled and mashed)
1 teaspoon vanilla
1/2 cup walnuts or pecans, chopped(option)

Jinsi ya kutengeneza
Kwenye bakuli kubwa changanya ndizi, mayai, vegetable oil na vanilla.
Kwnye bakuli nyingine changanya unga, chumvi, baking powder, magadi soda na mdalasini..

Chanaganya vitu vyote pamoja lakini hakikisha hukorogi sana.

Kama unaweka nuts basi changanya mwishoni

Paka chombo chako cha kuoka mafuta na uweke kama 2/3 full.

Weka kweny oven iliyopashwa moto kwa 350°F kwa  dakika 25-30 au hadi ziwe za brown  na ukiweka uma au toothpick inatoka safi .

Hii recipe inasema uoke muffins zako kwa dakika 25 hadi 30 lakini zangu ziliiva kwa dakika 20 tu hivyo angalia sana usije ukaziunguza..

*Ukipenda unawea kuweka katika chomboo cha kupikia mkate hii recipe ukawa mkate wa ndizi badala ya muffins za ndizi.
**Pia unaweza kutumia batter badala ya mafuta ya kupikia. 

Hii recipe ilikua adapted kutoka www.cook.com

No comments: