Chukua chenga za mkate (bread crumbs) na kuweka kwenye mfuko wa plastic. Changanya spices na chumvi kwenye mfuko. Inapendeza zaidi ukiweka herbs. Halafu unaondoa maji kwa samaki na kupanguza kidogo. Dumbukiza samaki kwenye mfuko na hakikisha unashake mpaka viungo vinaingia samaki wote.
Weka kwenye chombo cha kuoka ulichopaka mafuta chini. Okay kw dakika 12 hadi 20 inategemea ukubwa wa samaki yako. Ila hakikisha ukichomeka umma inajitenganisha.
No comments:
Post a Comment